Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
Chips Viruga

Chips Vuruga ni mchanganyiko wa chipsi zilizokaangwa vizuri, mayai, nyama au kuku pamoja na viungo maalum. Huchanganywa/vurugwa pamoja hadi kupata ladha tamu, yenye viungo na harufu ya kuvutia.

TSh 8,000

Mihogo na mishikaki

Mihogo ya kukaanga iliyokatwa vizuri na kukaangwa hadi iwe crunchy nje na laini ndani. Ina ladha tamu na ya kuvutia, inafaa kuliwa pamoja na chili, ketchup au sauce maalum pamoja na mishikaki lain sana

TSh 10,000

Chips mbuzi

Nyama ya mbuzi iliyochomwa kwa viungo maalum hadi kuwa laini na yenye ladha ya kuvutia, ikihudumiwa pamoja na chipsi za moto, kachumbari na pilipili. Mchanganyiko huu wa chipsi na nyama ya mbuzi hutolewa pia kwenye menu za migahawa Tanzania.

TSh 18,000

Chips zege na kuku robo

Chipsi zilizokaangwa vizuri na kuchanganywa na mayai kwa mtindo wa kitanzania, zikiwa na ladha tamu, laini ndani na crispy kwa nje. Zinaweza kuambatana na kachumbari na pilipili na kuku robo pembeni

TSh 12,000

SHELL ADVANCE

Shell advance motorcycle oil inatumika kulainisha injini ya pikipiki na magari karibuni sana

TSh 13,000

Tanfoam Mattress

godoro linalotengenezwa kwa foam yenye ubora, likilenga kutoa faraja na msaada mzuri wa mwili wakati wa kulala. Sifa kuu: * 📏 Unene: Inchi 8 * 🛌 Linapatikana kwa size mbalimbali kulingana na ukubwa wa kitanda. * 💪 Hutoa support nzuri kwa mwili na kusaidia kulala kwa utulivu. * 😴 Linafaa kwa matumizi ya kila siku nyumbani, hotelini au guest house. * 🧼 Lina cover inayolinda foam na kusaidia usafi wa godoro. * ⭐ TANFOAM ni chapa inayojulikana kwenye bidhaa za magodoro Tanzania

TSh 913,000

TanfoaM mattress

TSh 774,000

GP LUBRICANTS

gP BY-GEN 4T 20W-50 Ni lubricants kwa ajili ya kulainisha injini na vifaa vya magari

TSh 12,000