Compare products
Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.
Ready to compare
Add at least two products
Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.
Add products here
Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.
Anklet yenye muonekano wa kifahari na maridadi, ikiwa na mnyororo wa tabaka mbili pamoja na mapambo madogo ya duara yanayoongeza mvuto. Imetengenezwa kwa mtindo mwepesi na wa kuvutia, unaofaa kwa matumizi ya kila siku au kwenye matukio maalum. 💛 Aina: Double-Layer Anklet ✨ Muonekano: Gold/Golden 🌸 Style: Elegant & Fashionable 👗 Inafaa: Wanawake na wasichana 🎁 Perfect kwa: Matumizi binafsi au zawadi.
TSh 25,000
ni pambo la shingoni linalotumika kuongeza mvuto na umaridadi kwenye muonekano. Hutengenezwa kwa aina mbalimbali za vifaa kama chuma, silver, gold, beads au alloy, na hupatikana katika miundo tofauti kulingana na style.
TSh 30,000
Unaweza kubeba kwa wepesi inabeba vitu vingi kadri unavyoweza na Kuna rangi nyinginyingi
TSh 22,000
Ni ndogo kwa Bei rahisi sana n zipo za rangi tofauti tofauti na zinapatikana na zinabebeka kirahisi
TSh 20,000
Jezi nzuri na ya kisasa iliyotengenezwa kwa kitambaa chepesi, laini na kinachopitisha hewa. Inafaa kwa mpira wa miguu, mazoezi, gym na michezo mbalimbali. Ina muonekano wa kisporti, ni imara na inakupa uhuru wa kufanya shughuli zako kwa raha.
TSh 25,000
Mpira bora na imara kwa ajili ya kucheza mpira wa miguu. Umetengenezwa kwa ubora unaofaa kwa mazoezi, michezo ya kawaida na mashindano. Una umbo zuri, unadumu na unatoa uwezo mzuri wa kupiga pasi na mashuti.
TSh 35,000
Jezi nzuri na ya kisasa iliyotengenezwa kwa kitambaa chepesi, laini na kinachopitisha hewa. Inafaa kwa mpira wa miguu, mazoezi, gym na michezo mbalimbali. Ina muonekano wa kisporti, ni imara na inakupa uhuru wa kufanya shughuli zako kwa raha.
TSh 215,000
Suspenso ni perfume yenye harufu ya kuvutia, yenye character ya sweet, fresh na elegant, inayofaa kwa mtu anayependa kunukia vizuri na kuacha harufu inayokumbukwa. ✨ Sifa zake: * 🌹 Harufu ya kuvutia na yenye mvuto * 💐 Inafaa kwa matumizi ya kila siku * 🌙 Nzuri pia kwa outing, dinner na sherehe * ⏳ Inaweza kudumu kwa muda mzuri kulingana na ngozi na mazingira * 👌 Harufu yake ni rahisi kuipenda na kuendana na style mbalimb
TSh 35,000