Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
SHOW CASE

Hii ni TV stand nyeusi ya matter black inayoipa muonekano wa kifahari na wa kisasa. Ina mistari ya fluted design mbele na milango ya kati

TSh 200,000

SHOW CASE

Hii ni TV stand/Entertainment unity ya kisasa yenye design ya kipekee. Rangi Nyeusi na mikope Nyeusi pamoja na vishikizo vya dhahabu. Design ni zig zag upande wa kushoto na sehemu ya wazi katikati. Inatoa mwonekano wa kipekee

TSh 120,000

MEZA YA GAS

Top & blacksplash, Nyeusi ya granite look yenye vidoa vidogo nyeupe. Inaonekana Safi, haichafuki haraka na ni rahisi kufuta, Milano meupe na fremu Nyeusi, combination hii inatoa utofauti nzuri na looc ya kifahari

TSh 130,000

USB

Zipo za Smartphone zipo za I phone na pia zipo za Type C ni USB Bila kichwa cha chaja

TSh 5,000

MEZA YA GAS

Meza ya gas yenye muonekano na ubora, ya rangi nyeupe ambayo juu ni nyeusi. Haipauki, yenye milango miwili na sehemu ya kuweka mtungi wa gas

TSh 120,000

SHOW CASE

Ni show case ndefu nzuri, inafaa kwa maofisini, show case ya rangi nyeupe yenye mkanda wa ranging ya Gold. Ina urefu wa futi tatu na upana wa futi tatu. Ina droo na mgango mmoja na mikono ya rangi ya gold

TSh 230,000

TYPE C CHARGER

Ina Watt 50 na Watt 15 nzuri na fast charger zinapatikana muda wote karibu sanaa

TSh 8,000

Soda

Tunauza na kusambaza soda aina mbal mbali kwa bei nafuu na kwa uaminifu mkubwa sana popote nchini kwa bei ya jumla na reja reja

TSh 12,000