Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
MOTER CYCLE/PIKIPIKI

Zipo za aina tofauti tofauti na kwa bei tofauti tofauti ni mpya kabisa na ziko showroom

TSh 3,200,000

Biryan Special

Biryani yenye harufu nzuri na ladha ya kipekee, ikiambatana na kuku wa kuchoma, nyama yenye mchuzi mzito, mayai ya kuchemsha, viazi vya crispy na ndizi, pamoja na viungo maalum vinavyoongeza utamu na mvuto wa chakula. Ni mlo mkubwa, wenye mchanganyiko wa ladha tofauti kwa ajili ya kushibisha na kufurahia pamoja. 😋

TSh 25,000

SUGERCANE JUICER MACHINE

Mashine ya kukamua au kutengeneza juice ya miwa,zipo kubwa na imara sana na zipo ndogo na imara pia karibuni sana

TSh 1,200,000

ROTARY DRUM MIXER

Heavy duty rotary drum mixer 500kg-1000l inatumia engine ya diesel au umeme ni heavy duty haichoki

TSh 2,500,000

CRUSHER/BALL MILL

Ni mashine ya kusaga kokoto inapatikana kwa bei nafuu sana karibuni sana haili umeme

TSh 3,500,000

VIATU

Ni viatu vya mtumba kwa mahitaji ya watoto shule na pia vya wakubwa vipo ni ngozi kabisa huto jutia kununua

TSh 45,000

AUTOMATIC INCUBATOR

Ni ya kutotolesha mayai,ni automatic na napatikana kwa bei nafuu sana,karibuni sana

TSh 400,000

Mihogo Samaki

Mihogo iliyokaangwa kwa ubora hadi kuwa crispy kwa nje na laini ndani, ikiambatana na samaki wa kukaanga mwenye viungo maalum na ladha ya kuvutia. Huhudumiwa pamoja na kachumbari safi na pilipili/sauce.

TSh 15,000