About this product
Dickies
Jeans za wanaume za slim fit / skinny • Rangi: Blue ya giza "Dark wash" yenye kufifia kidogo inaonekana ya kifahari • Ushonaji: Zinafaa vizuri kwenye mapaja na mguu mzima. Zinashuka taratibu chini zinatoa muonekano wa kisasa • Vitu muhimu: ○ Mifuko 5 ya kawaida mbele na nyuma ○ Kama ya ngozi ya rangi ya kahawia nyuma juu na logo ○ Rivet ndogo yenye logo mfukoni wa nyuma ○ Zip na kitufe mbele ○ Mshono safi wenye uzi tofauti kidogo • Nguo: Denim imara lakini ina stretch kidogo inakaa vizuri na kukaa raha • Saizi zinazopatikana: 30 ~ 38 kama ilivyoonyeshwa kwenye picha • Matumizi: Nzuri kwa mavazi ya kila siku, kazini casual, au kutoka. Inafaa na T-shirt, shati, sneakers au boots